Breaking News: Watu 17 wameokolewa baada ya boti kuzama katika ziwa Victoria - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, November 16

Breaking News: Watu 17 wameokolewa baada ya boti kuzama katika ziwa Victoria


Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini.

Hizi ni taarifa za awali fuatilia Habari zetu kufahamu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here