KWA MWENENDO HUU TFF WAMEANZA KUFANIKIWA,HABARI KAMILI HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, December 3

KWA MWENENDO HUU TFF WAMEANZA KUFANIKIWA,HABARI KAMILI HAPA

                          Image result for Riphat Hamisi
Unaweza kusema hivyo kwa kuwa mara nyingi TFF wamekuwa wakitoa tuzo za mchezaji bora wa ligi /mwezi kwenye vilabu vikubwa kwenye ligi kuu VPL kama vile SIMBA SC,YANGA SC na AZAM FC.

 Lakini hayo yamekatika hii leo baada ya mchezaji bora wa mwezi Novemba kutoka katika labu ya Ndanda FC,Wana kuchele ambaye ni Riphat Hamisi.

Katika mechi mbili ambazo timu ya Ndanda FC ilicheza kwa mwezi huo, Riphat aliisaidia timu yake kupata ushindi katika michezo yote na kukusanya jumla ya pointi 6 zilizoifanya kushika nafasi ya kumi katika msimamo wa Ligi hiyo ambayo iko mapumzikoni kupisha dirisha dogo la usajili.


Aliifungia pia timu yake mabao mawili katika michezo miwili ambayo timu yake ilicheza kwa mwezi huo.
Mwezi huo ulikuwa na raundi mbili zilizochezwa. Kwa kushinda tuzo hiyo, Riphat atazawadiwa kitita cha sh. milioni moja kutoka kwa wadhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here