Tambwe amesema kuwa kambi yao ni kama jeshi kwa kuwa mazoezi ni magumu na ni matamu, kwa kuwa anajua ili timu iwe fiti lazima wapate muda wa kujiandaa kama wanavyofanya wao.
Amesema wapo mafichoni huko lakini kila kitu kinaendelea vizuri, pamoja na hivyo ameongeza kuwa atapambana ili kupata nafasi ya kuchukua kiatu cha dhahabu, yaani ufungaji bora.
Ameongeza kuwa anajua msimu ni mgumu lakini atapambana anavyoweza ili kuiwezesha Yangakufanya vizuri licha ya kutambua kuwa msimu utakuwa mgumu.
No comments:
Post a Comment