PSG yashinda super cup - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 30

PSG yashinda super cup


Wachezaji wa PSG wakifurahia na taji lao la Super Cup ya Ufaransa baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger mjini Tanger. Mabao ya PSG yalifungwa na Dani Alves dakika ya 51 na Adrien Rabiot dakika ya 63, baada ya Djibril Sidibe kuifungia bao la kuongoza Monaco dakika ya 30.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here