Neymar Arejea tena mazoezini baada ya ugomvi wa jana - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 29

Neymar Arejea tena mazoezini baada ya ugomvi wa jana

 
 Baada ya kuzichapa na beki mpya wa Barcelona, Nelson Semedo , mshambuliaji Mbrazil, Neymar amerejea mazoezini.

Barcelona bado iko Miami nchini Marekani na Neymar alitoka mazoezini kwa hasira baada ya ugomvi huo jana.

Baadaye ikaelezwa hatarejea Hispania na Barcelona na yuko katika mpango wake wa kutaka kuondoka kujiunga na PSG ambayo inamtaka kwa udi na uvumba.

Hata hivyo, leo amerejea mazoezini lakini akionekana ni mtu asiye na furaha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here