Wafungwa zaidi ya 20 watoroka katika magareza Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 29

Wafungwa zaidi ya 20 watoroka katika magareza Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo


Wafungwa zaidi ya 20 watoroka katika magareza Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo

Taarifa zinaripoti kuwa wafungwa zaidi ya 20 wametoroka katika magareza Ijumaa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Wafungwa hao  wameripotiwa kutoka katika gereza la Bukavu Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Meya wa jiji la Bukavu Philemon Yogolelo aliliambia shirika la habari la Anadolu kuwa  mfungwa mmoja alifariki katika tukio hilo.

Wafungwa wengine wane walijeruhiwa walipokuwa wakijaribu kutoroka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here